Hivi karibuni:-The real shape of the earth

Eri Mungu kafanya uumbaji, lakini kuna mawazo mawili tofauti,
Kuwa dunia ina umbo la tufe, yani kama mpira,pia kuwa dunia ina umbo la duara kama chapati, yani ni tambarale, je lipi ni jibu sahihi
Usikose hivi punde majibu ya kweli yanakuja na ushibitisho wa kubiblia na kisayansi pia! Kaa karibu na app yako ya Binago Blog! 🙏😇

2 comments:

  1. Dunia ni tufe bana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haha, kiaje! Toa mawazo vizuri, lakini hivi punde majibu ya ukweli tutayaweka hili tujifunze wote uumbaji wa Mwenyezi Mungu

      Delete