Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi awaye yote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa. June 07, 2018  ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018) ............. Hajawahi kutokea...Read More
Mchungaji avamiwa na mamba wakati akifanya kazi ya kuwabatiza wafuasi wake June 07, 2018  Kulingana na ripoti za BBC, Docho Eshete aliumwa miguuni na mikononi na mgongoni kabla ya kuaga dunia kutokana na majeraha hayo. ...Read More
Waraka wa Pasaka nchini Tz kufutwa na serikali June 07, 2018 SERIKALI imeliandikia barua Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) ikilitaka kuufuta waraka wa Pasaka uliotolewa Machi mwaka huu...Read More
Wabunge wa Wapinzani walitaka KKKT kutojibu barua ya Serikali June 07, 2018  WABUNGE wa Upinzani Bungeni wamewataka viongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na Kanisa Katoliki (RC) ku...Read More
Museveni awahimiza Wakristo Uganda June 06, 2018  Wakristo nchini Uganda wametakiwa sio tu kujishughulisha na maisha ya milele huko mbinguni lakini pia kuishi maisha bora hapa u...Read More
Bernadino KasambulaAamua kuishi juu ya Kanisa akidai ardhi ni yake alidhulumiwa June 05, 2018 Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamume mmoja mkoani Geita aliyejulikana kwa jina la Bernadino Kasambula, ameamua kuishi juu ya paa ...Read More
Askofu mkuu wa iran: amlaani Rais Trump kwa kuhamishia ubalozi jerusalem June 03, 2018 Askofu Mkuu wa Iran: Marekani haina uwezo wa kukabiliana na mshikamano wa taifa la Iran Askofu Mkuu wa Wakristo wa Kiarmenia wa Tehran na...Read More
Museveni: Alitaka kanisa kumfanya Mwalimu Julius Nyerere kuwa mtakatifu June 02, 2018 Rais Museveni amesisitiza kuhusu shinikizo la kulitaka kanisa kumfanya rais wa zamani wa Tanzania Julius Kabarage Nyerere kuwa mtakatifu. ...Read More
Marekani;Mhubiri mmoja awataka waumini wake kumuongezea ndege yake ya nne June 02, 2018 Marekani; Mhubiri mmoja wa Kiinjilisti nchini Marekani amewaomba waumini wake kuchanga pesa za kumsaidia kununua ndege yake ya nne. Am...Read More