Askofu Mkuu KKKT: Hakuna kiumbe/kiongozi awaye yote atakayeweza kulitikisa Kanisa,hajazaliwa na hatozaliwa.




ujumbe alioutoa Mtumishi wa Mungu, Mchunga kondoo wa Bwana Mungu wa Majeshi (07 June 2018)

.............
Hajawahi kutokea kiumbe ama binadamu yoyote, mwenye cheo chochote, ama ulinzi wowote anaedhani kwake ni fahari kulitisha Kanisa ama kulitikisa.
Kiumbe huyo ama kiongozi huyu hajazaliwa wala hatazaliwa.
...............
Askofu Dr. Fredrick Shoo
Mkuu wa Kanisa KKKT
07 Juni 2018

Source: Twita

No comments