JESHI LA POLISI LAZINGIRA ENEO LA BOMA HOTEL MUDA HUU
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mhe. John Pambalu amesena, asubuhi ya leo Julai 17, 2021 Jeshi la Polisi limeizingira Boma Hotel, wamekwisha mkamata Naibu katibu Mkuu Bavicha taifa Mhe. Yohana Kaunya na Mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Mwanza Mhe. Boniface Nkobe.
Aidha, amesema Hawarudi nyuma wanasonga mbele, Kongamano liko palepale.
"Muda huu wamemkamata baba Askofu Emmaus Askofu, Dr. lwaitama na Twaha_Mwaipaya, Hakuna kurudi nyuma. Mapambano yanaendelea"---- PAMBALU
Post a Comment