RAIS RUTO ASEMA VYOMBO VYA ULINZI VITATUMIA NGUVU ILIYOPITILIZA

Rais Ruto amesema hawezi kukataa kwamba Vikosi vya Ulinzi na Usalama Nchini humo vimekuwa vikitumia nguvu iliyopitiliza wakati vinapokabiliana na Wananchi katika matukio mbalimbali Hata hivyo, 

Ruto alisisitiza kuwa Wananchi wanapaswa kufahamu kila aina ya Uhuru una mipaka yake na Sheria za Usalama wa Umma zinapaswa kufuatwa na kuheshimiwa bila shuruti Kauli ya Ruto inafuatia Idara za Ulinzi kuhusishwa na matukio ya Watu kupotea ambapo.

Ruto ameahidi Serikali yake itashughulikia na kuchukua hatua dhidi ya vitendo hivyo.

No comments