HUYU NI MAMBA WA NILE, TAZAMA HII PICHA

Huyu ni mamba wa Nile kama inavyoonekana kwenye mbuga ya wanyama nchini Sudan. Lakini huko Afrika Kusini, idadi isiyojulikana ya wanyama hawa watambaao wako huru baada ya kutoroka kutoka shamba la kuzaliana.

No comments