Tiktok kuuzwa
Wabunge nchini Marekani wameupitisha Muswada utakaoilazimu kampuni mama ya TikTok (ByteDance) kuuuza mtandao huo kufikia Septemba 30 au kuhatarisha kufungiwa nchini Marekani.
Rais Joe Biden alikwisha kusema kuwa yupo tayari kuweka sahihi kwenye muswada huo ikiwa utapitishwa.
Kwa miaka kadhaa sasa maafisa nchini Marekani wamekuwa wakionya kuwa taarifa kadhaa za mtandao wa TikTok zinaweza kuifikia Serikali ya China na hivyo kuhatarisha usalama.
Post a Comment