𝙆𝙐𝙀𝙇𝙀𝙆𝙀𝘼 𝙍𝙊𝘽𝙊 𝙁𝘼𝙄𝙉𝘼𝙇𝙄 ⚽️
Mpaka sasa bado timu (2) hazijafuzu robo fainali CAF-CL kukamilisha timu nane (8).
𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 (A)
1. 🅿️ 10 — TP Mazembe 🇨🇩 ☑️
2. 🅿️ 10 — Mamelodi 🇿🇦 ☑️
3. 🅿️ 04 — Nouadhibou 🇲🇷
4. 🅿️ 04 — Pyramids 🇪🇬
𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 (B)
1. 🅿️ 11 — ASEC Mimosas 🇨🇮 ☑️
2. 🅿️ 06 — Simba SC 🇹🇿
3. 🅿️ 06 — Wydad Athletic 🇲🇦
4. 🅿️ 04 — Jwaneng Galaxy 🇧🇼
𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 (C)
1. 🅿️ 09 — Petro Atletico 🇦🇴 ☑️
2. 🅿️ 08 — Esperance 🇹🇳
3. 🅿️ 05 — Al-Hilal 🇸🇩
4. 🅿️ 04 — Etoile du Sahel 🇹🇳
𝙂𝙧𝙤𝙪𝙥 (D)
1. 🅿️ 09 — Al-Ahly 🇪🇬 ☑️
2. 🅿️ 08 — Young Africans 🇹🇿 ☑️
3. 🅿️ 05 — CR Belouizdad 🇩🇿
4. 🅿️ 04 — Medeama 🇬🇭
Timu zilizofuzu mpaka sasa ;
1. 🇹🇿 Young Africans SC
2. 🇪🇬 TP Mazembe
3. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
4. 🇨🇮 ASEC Mimosas
5. 🇦🇴 Petro Atletico
6. 🇪🇬 Al-Ahly Cairo
7. ____________________
8. ___________________
📌 Kama msimamo wa makundi ukibaki kama ulivyo Yanga SC watakutana na moja ya timu hizi hatua ya Robo fainali CAF-CL.
🇨🇩 TP Mazembe
🇨🇮 ASEC Mimosas
🇦🇴 Petro Atletico
Wananchi mnataka kukutana na nani? 🔥 Toa maoni yako
CC Tom Cruz #binagoupdates
Post a Comment