MCHEZAJI ANGUKA UWANJANI NA KUPOTEZA MAISHA
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena (28) amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani leo Baada ya kupata mshtuko Wa moyo Dakika ya 23 ya Mchezo wakati wa mechi kati ya timu yake ya Egnatia Rrogozhine ya nchini Albania dhidi ya Partizani.
Tarehe 2 Novemba 2021:
Daktari wa CAF, Dk. Prince Pamboe alimshauri Raphael Dwamena kufikiria kustaafu kucheza soka kutokana na matatizo ya moyo.
huku akisema:
"Ni wakati wa meneja wake kukaa na Raphael Dwamena na kufanya mazungumzo naye. Chombo chochote kilichopandikizwa moyoni mwake kinaweza kuwa kibaya zaidi au kuleta tatizo lingine hivyo kuna haja ya kufanya tathmini upya."
Nimeshtuka sana Dwamena bado anacheza.
R.I.P RAPHAEL DWAMENA

Post a Comment