TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI
Jana Tarehe 10,Novemba,2023 kikosii cha Timu ya Taifa @taifastars_ kiliwasili kambini kwaajili ya kujiandaa na MICHEZO ya kufua kombe la Dunia 2026.
Leo wameanza mazoezi ya pamoja kwaajili ya utimamu wa akili na mwili kuelekea michezo iyo.Taifa Stars wameweka kambi katika Gym ya Golden Tulip,Masaki, Dar es salam
Michezo hiyo ya kufua kombe la Dunia watacheza na Niger na Morocco
Stream mechi live kupitia Binago TV,download app yetu

Post a Comment