MAN United wapo katika hali tete
Manchester United wako mkiani kwenye group (A) UEFA champions league 🙆
1. 👕 5 🅿️ 13 — Bayern Munich
2. 👕 5 🅿️ 05 — Galatasaray
3. 👕 5 🅿️ 05 — Copenhagen
4. 👕 5 🅿️ 04 — Man United
Full — Galatasaray 3 - 3 Man United
⚽️ Garnacho — 11'
⚽️ Fernandes — 18'
⚽️⚽️ Hakim Ziyech — 29', 62'
⚽️ McTominay — 55'
⚽️ Akturkoglu — 71'
Tom Cruz facts 🧠
Manchester United wameruhusu magoli (14) katika mechi (5) za Champions league. Ni timu ya pili kuruhusu magoli mengi zaidi mpaka sasa msimu huu 23/24.
◎ 15 - Royal Antwerp
◉ 14 - Manchester United
Timu za England zilizoruhusu magoli mengi katika hatua hii kwenye historia :
◉ 14 - Man United ›› 2023-24.
◎ 11 - Man United ›› 1994-95.
◎ 11 - Tottenham ›› 2019-20.
◎ 10 - Man United ›› 1998-99.
◎ 10 - Man City ›› 2012-13.
◎ 10 - Arsenal ›› 2015-16.
NB ; Mechi ijayo ya kuhitimisha hatua ya makundi ni Man United ⚔️ Bayern ! 🙆
.
.
𝗚𝘂𝗲𝘀𝘀 𝘄𝗵𝗮𝘁 ?
Jude Bellingham amekuwa mchezaji wa kwanza wa Real Madrid kwenye historia kufunga bao katika mechi zote (4) za kwanza za UEFA Champions League 🔥
Full — Real Madrid 4 - 2 Napoli
⚽️ Simeone — 9'
⚽️ Rodrygo — 11'
⚽️ Bellingham — 22'
⚽️ Anguissa — 47'
⚽️ Paz — 84'
⚽️ Joselu — 90+4'
Full — Arsenal 6 - 0 Lens
⚽️ Havertz — 13'
⚽️ Jesus — 21'
⚽️ Bukayo Saka — 24'
⚽️ Martinelli — 27'
⚽️ Odegaard — 45+1'
⚽️ Jorginho ›› Pen — 86'
Full — Bayern 0 - 0 Copenhagen
Tom cruz facts 🧠
Copenhagen wameikatisha Winning streak ya Bayern Munich ambapo kabla ya mechi hii Bayern walikuwa WAMESHINDA mechi (18) mfululizo kwenye group stage ya UEFA Champions league.
Jude Bellingham ameipita idadi ya magoli yote alitofunga msimu uliopita :
⚽ 14 🏟️ 42 — Dortmund
⚽ 15 🏟️ 16 — Real Madrid
Arsenal wametinga hatua ya mtoano kwa mara ya kwanza Champions league baada ya kusubiri kwa miaka (7)
Post a Comment