YAHAYA ZAID HADI 2026 AZAM FC


Klabu ya Azam Fc mapema leo Oktoba 30,2023, imetangaza kuongeza kandarasi ya kuendelea kupata huduma ya kiungo wao mshambuliaji Yahaya Zaid ambao utakaomfanya kuhudumu katika Klabu hiyo hadi 2026


Azam imechukua uamuzi huo baada ya kukaa na mchezaji huyo mezani huku ikiwa ni harakati zao za kuendelea kuijenga timu yao hasa katika eneo la kiungo na ushambuliaji.

No comments