USIKU WA BALLOON ĎOR
Leo Tarehe 30,Oktoba,2023 ndio ile siku mashabiki wengi na wapenzi wa soka wanaisubiri kwa hamu kujua hatima ya tuzo hizi kubwa duniani(Balloon Dor)
Kuna vita kubwa kati ya Lionel Messi na Erling Haaland,Messi aliweza kutwaa kombe la Dunia nchini Qatar na kuweza kutwaa ubingwa wa Paris saint Germain(PSG).Haaland aliweza kutwaa mataji matatu akiwa katika timu yake ya Manchester city alichukua ubingwa wa ligi kuu England,FA na calabao cup(EFL)
Nani atachukua tuzo hii? Usiache kucomment apo chini.Tufatilie kupitia Binago TV na Binago blog iliujue nani atachukua tuzo hii
Kama bado hujapakua app yetu link hiyo apo chini👇🏽👇🏽👇🏽
https://m.apkpure.com/binago-tv/binago.aplicyzk/download
Post a Comment