👑 | 𝗧𝗛𝗘 𝗘𝗚𝗬𝗣𝗧𝗜𝗔𝗡 𝗞𝗜𝗡𝗚
The Egyptian King, Mohamed Salah amefunga bao kwenye michezo yote ya England premier ya nyumbani msimu huu 🔥
◉ 4 - Last games
◉ 6 - Goals scored
Michezo (14) ya mwisho ya nyumbani (EPL) ya Mohamed Salah 😃🔥
⚽ vs Everton
⚽ vs Wolves
⚽⚽🅰️🅰️ vs Man Utd
⚽ vs Arsenal
⚽ vs Forest
⚽ vs Spurs
⚽ vs Fulham
⚽ vs Brentford
🅰️ vs Villa
⚽ vs Bournemouth
⚽ vs Villa
⚽ vs West Ham
⚽⚽ vs Everton
⚽ vs Forest
Salah amefunga magoli (20+) EPL kwenye calendar ya mwaka katika miaka (4) tofauti :
◉ 2018
◉ 2020
◉ 2021
◉ 2023
Ni Harry Kane, Thierry Henry and Alan Shearer pekee ndio wamefunga magoli (20+) mara (5) katika kalenda ya mwaka.
Full — Liverpool 3 - 0 Nottingham
⚽️ Jota — 31'
⚽️ Nunez — 35'
⚽️ Salah — 77'
Watauana hawa ! :
1. 🏟️ 10 ⚽ +13 🅿️ 26 — Spurs
2. 🏟️ 10 ⚽ +15 🅿️ 24 — Arsena
3. 🏟️ 10 ⚽ +15 🅿️ 24 — Man city
4. 🏟️ 10 ⚽ +14 🅿️ 23 — Liverpool
Post a Comment