BAADA YA MPENZI WAKE WA ZAMANI KUFARIKI KASIA LENHARDT, BOATENG AAMUA KUITEMA KAMBI KWENDA NCHI UJERUMANI AMBAKO TUKIO HILO LIMETOKEA

JEROME BOATENG AITEMA KAMBI BAYERN, BAADA YA MPENZI WAKE WA ZAMANI KUFARIKI NCHINI UJERUMANI

Mpenzi wa zamani wa beki Jerome Boateng, Kasia Lenhardt(25) amekutwa amefariki katika Apartment yake jana mjini Berlin nchini Ujerumani.

Ikiwa imepita wiki moja tangu aachane na mchezaji huyo. 

Polisi wa Berlin hawajachukulia kifo hicho kama ni mauaji au kutoa tuhuma. 

Boateng na Kasia wamedumu katika uhusiano kwa muda wa miezi 15, na Februari 2 mwaka huu beki huyo alitoa taarifa ya kuachana na mwanadada huyo, akieleza kuwa yalikuwa ni maamuzi sahihi na akaomba msamaha kwa mpenzi wake wa zamani  Rebecca Silvera na watoto wake kwa kuwaumiza kipindi akiwa katika uhusiano na Kasia.
#BinagoUPDATES

2 comments:

  1. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe cha kusimama peke yangu bila mwili wa kusimama na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na Dk DAWN, baada ya kumwambia. kuhusu hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kiukweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi huku akiniomba kuwa hatoniacha kamwe. tena. Miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    * upendo
    inaelezea * inaelezea kivutio
    * kama unataka ex wako nyuma
    *acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa kinga
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    * bahati nasibu
    * bahati nzuri
    Wasiliana na Dk Ediomo kwenye barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp:+2349046229159

    ReplyDelete
  2. Habari zenu. Ilikuwa ngumu sana kwangu wakati mpenzi wangu aliniacha kwa mwanamke mwingine. Niliharibiwa kihisia, nilivunjika moyo na sikujua la kufanya ili kumrudisha. Nilihangaika kwa miezi mingi na niliendelea kutafuta msaada kutoka kila mahali hadi nilipopata kujua kuhusu DR DAWN. Niliwasiliana naye na kumweleza shida zangu. Alikuwa tayari kunisaidia na kunisisitiza nifuate taratibu ili aweze kurejesha penzi kati yangu na mtu wangu na pia kuhakikisha tunarudiana wote wawili. Nilipata mahitaji yote na ilifanya kazi hiyo. Baada ya saa 48, nilipata ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu akiniuliza tarehe. Sasa tuko pamoja tena na shukrani zote kwa DR DAWN. Anaweza kukusaidia kumrudisha mpenzi wako,
    Anaweza kukusaidia na uchawi wa ujauzito,

    Anaweza kukusaidia kuponya aina yoyote ya ugonjwa.

    ikiwa uko tayari kuamini na kubaki na matumaini. Watumie barua pepe tu kupitia: dawnacuna314@gmail.com
    WhatsApp: +2349046229159

    ReplyDelete