TP Mazembe dhidi ya Esperance De Tunis kwa Mkapa
MGENI NJOO MWENYEJI APONE
Breaking News.....
Klabu ya Tp Mazembe ya DR Congo imeomba mchezo wao dhidi ya Esperance De Tunis kutoka Tunisia unazikutanisha timu hizo kwenye michuano ya African Football League(AFL) uchezwe katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar Es Salaam
Mchezo huo ambao umepangwa kupigwa Oktoba 22,2023, ni kutokana na sababu za nchi ya DR Congo kukosa uwanja wenye sifa stahiki ambazo Shirikisho la Soka Barani Afrika(CAF) wanazitaka uwanja husika uwe nazo
Itakubumbukwa kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa ulifungiwa na CAF kutokana kukosa ubora na kuifanya Serikali kuingia kwenye marekebisho kwa awamu ya kwanza na CAF wameupitisha kutumika baada ya maboresho hayo ya awamu ya kwanza kukamilika.
Tafadhali Subscribe, Like, Share YouTube channel yetu ya 👉🏽 Binago TV
Post a Comment