MAANDALIZI YA SIMBA KUELEKEA AFRICA FOOTBALL LEAGUE


 Tarehe 25,Oktoba,2023 klabu  ya Simba itacheza na Al-Ahly ya Misri kwenye michuona bora Afrika iitwayo Africa Football League(AFL)


Kwa mujibu wa msemaji wa klabu ya Simba alisema leo ni siku ya kupaka(painting day).Klabu ya Simba ikishirikiana na mashabiki wake wamebandika picha mbalimbali ilikuongeza hamasa ya mashabiki kuelekea mchezo huo 


Mchezo huo wa robo fainali utachezewa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Ijumaa Tarehe 20,Oktoba,2023  


Mipango ya klabu ya Simba nikumaliza uuzaji wake wa tiketi(SOLD OUT)  kabla ya Ijumaa ili mashabiki wabaki kujiandaa na mchezo huo

No comments