𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔 𝗨𝗡𝗗𝗘𝗥-𝗗𝗢𝗚'


Mchambuzi wa Efm radio amekuja tofauti na kauli ya jana la, Edgar Kibwana aliyesema Yanga anaingia akiwa UNDERDOG.


"Ukitazama performance ya mchezaji mmoja mmoja mpaka sasa msimu huu, Simba anaingia kama UNDERDOG"


"Kwenye combine ya kikosi changu cha Simba na Yanga Simba wameingiza wachezaji watatu tu. Sijapanga tu ni kutokana na performance yao ligi kuu"


◉ Djigui Diarra

◉ Yao Kouassi

◉ Lomalisa

◎ Che Malone

◉ Mwamnyeto

◎ Fabrice Ngoma

◉ Aziz Ki

◉ Khalid Aucho 

◎ Jean Baleke

◉ Pacome 

◉ Max Nzengeli"


©️ Wilson Oruma

.

.

"Simba Underdog kivipi wakati anaongoza ligi kwa point tatu (3) ? Ndio timu ambayo haijapoteza. Mimi sikubaliani na wewe"


©️ Geof Leah

.

.

"Hebu angalia msimamo hapo sheikh, Yanga ndio anaongoza ligi japo kacheza mchezo 1 zaidi. Yanga pia anaongoza kwa kufunga magoli mengi (20) na anaongoza kwa Clean sheets. Simba anaongoza kwa point (3) kivipi ? Au mnahesabu mechi ambayo haijachezwa, mnajuaje atashinda ?!"


©️ Wilson Oruma

.

.

"Yanga wamefunga magoli (20) Simba amefunga magoli (15), hawajapishana sana haitoshi kusema Simba anaingia kama UNDERDOG kwenye Mchezo"


©️ Geof Leah.

.

.

" Sio kila mechi lazima iwe na UNDERDOG, hawa wote wako kwenye kiwango kizuri kwangu mimi hakuna Underdog"


©️ Ibrahim Maestro

No comments