𝗞𝗨𝗜𝗠𝗔𝗟𝗜𝗭𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗣𝗛𝗜𝗟𝗜 𝗕𝗔𝗟𝗘𝗞𝗘 𝗪𝗔𝗔𝗡𝗭𝗘 ⚽️ 🔥


 Mshambuliaji wa zamani wa Simba

na Taifa Stars, Emannuel Gabriel amesema:


"Kama Simba wanataka matokeo mazuri basi ni vyema kocha akawaanzisha Phiri na Baleke, niwachezaji wanaompa matokeo mazuri na ukiangalia wamefanya vizuri kwenye mechi walizocheza.


"Kibu Denis anampa majukumu ambayo hayawezi kwa kumchezesha namba tisa, anamnyima uhuru wa kutembea, Bocco amwache kwanza benchi aingie timu ikipata matokeo mazuri na havwana cha kupoteza.


"Mechi mbili za mwisho za Simba zimeleta mwanga kuelekea dabi ingawa watani zao wapo vizuri, lakini kama kocha ataamua kutumia mshambuliajia mmoja basi tumwachie kazi yake na uamuzi wake huenda

ukawa sahihi, ila kuimaliza Yanga ni kuwatumia

Baleke na Phiri kwa pamoja."


WANASIMBA hapo vipi .!! Toa maoni yako # 

No comments