| 𝗞𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗔𝗝𝗨𝗟𝗔 🦁
CEO katupiga kamba nyingine leo :
"Simba sports club ni klabu ya (7) Africa kwa ubora. Kwa uwekezaji tunaoendelea kuufanya baada ya miaka 10 ijayo tunataka kuwa klabu namba 1 Duniani"
©️ Imani Kajula.
CEO wa Klabu ya Simba SC
.
.
Kwa mujibu wa Ranks za CAF Simba SC ni klabu ya (9) sio ya (7) kama alivyosema.
1. 🇪🇬 Al-Ahly Cairo
2. 🇲🇦 Wydad Casablanca
3. 🇹🇳 Esperance
4. 🇿🇦 Mamelodi Sundowns
5. 🇲🇦 Raja Casablanca
6. 🇪🇬 Zamalek
7. 🇲🇦 RS Berkane
8. 🇩🇿 CR Belouizdad
9. 🇹🇿 Simba SC
Post a Comment