Mwamuzi Rafael Ikambi aliamua kutrend, hakukuwa na penati

"Mwamuzi Rafael Ikambi aliamua kutrend, hakukuwa na penati"

"Hii haikuwa penati kwa mabadiliko ya sheria ambayo yalifanyika (2017). Sitaki kuamini kwamba tangu mwaka (2017) mpaka leo mwamuzi wa ligi kuu hajui kuwa mpira ukitoka kwenye mwili wako ukaenda kugusa mkono sio faulo"

"Ukiangalia namna ambavyo mchakato wa upigaji penati wenyewe haukufuata utaratibu, ni kama mwamuzi Rafael Ikambi aliamua KUTREND tu, sio kwamba alikuwa hajui"

"Wachezaji wa Yanga walikuwa kwenye box wakati penati inapigwa,, sitaki kuamini kuwa marefa wetu hawajui bali wanafanya kusudi"

🔍 Jemedari Said mchambuzi 

No comments