Yanga SC kulipwa Bilioni 3 plus iwapo wakiwa mabingwa.
- Kwa mara ya kwanza kwenye historia msimu huu bingwa wa ligi kuu Tanzania bara atapata BONUS ya Tsh 500 Milioni.
- Hivyo iwapo Young Africans wakitwaa ubingwa wa ligi kuu watapata pesa nyingi kuzidi pesa watakazopata Simba sc baada ya kuingia robo fainali Shirikisho (CAF)
.
.
Pesa watakazopata Yanga sc iwapo watatwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
💸 03 Bilioni = Mkataba Azam Tv Maudhui
💸500 Milioni = Bonus Azam Tv rights.
💸100 Milioni = Bonus Sports pesa
💸 50 Milioni = Taifa gas
Note ; Pesa hizo za bonus zipo kwenye vipengele vya mikataba waliyoingia na makampuni hayo, watapewa pesa hizo iwapo Yanga wakitwaa ubingwa, nje ya pesa wanazopata kwa msimu.
💸 ? = Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania bara (NBC) bado hajaweka wazi atatoa kiasi gani kwa bingwa wa ligi kuu msimu huu.
Tsh 3 Bilioni na 650 Milioni + kiasi kisichojulikana bado kutoka kwa Mdhamini mkuu NBC.
Cc; Tom Cruz #binagoupdates
Post a Comment