Huu ndio Muonekano wa Daraja la Tanzanite ambalo Ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100%.
Daraja hilo lenye urefu wa 1.03km lililojengwa juu ya Bahari, Jijini Dar es Salaam likiwa na njia nne za Magari na njia mbili za waenda kwa Miguu limeanza kutumika Rasmi Leo Februari 1, 2022.
Post a Comment