RAIS SAMIA; NITAMKUMBUKA KWANDIKWA KWA UMAHIRI WAKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amesikitika kutoa taarifa ya aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kwandikwa ambae amefariki dunia apo jana.

"----->Nitakumbuka umahiri wake katika uongozi na uzalendo. Natoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu, Mungu amweke mahali pema peponi, Amina."---- RAIS SAMIA 

No comments