HERITIER MAKAMBO ARUDI YANGA SC
Mshambuliaji wa kimataifa wa Congo DR Heritier Makambo amerejea Yanga SC baada ya kumalizana na club ya Horoya ya Guinea.
Makambo alijiunga na Horoya 2019 na kusaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Yanga SC lakini alidumu Horoya kwa miaka miwili na mkataba wake kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili na sasa amerejea Jangwani ambapo alikuwa na msimu mzuri.

Post a Comment