USIYOYAJUA KUHUSU CHANJO YA CORONA (UVIKO-19)

Unapopata chanjo inakua rahisi kutibiwa na kuepuka kifo pale unapopata maambukizi tofauti na mtu ambaye hajachanjwa.

Ieleweke kuwa unapopata chanjo ya Corona haimaanishi kuwa huwezi kupata maambukizi.

Uwezekano wa kupata na kuwaambukiza wengine
ambao hawajachanjwa upo.

Wizara inapenda kuithibitishia umma kuwa chanjo iliyoletwa nchini ni salama kwani wataalamu wamejiridhisha nayo.

TUPATE CHANJO

No comments