AZAM FC YAACHANA NA WACHEZAJI WAKE 4 WAKIMATAIFA
Klabu ya Azam FC, imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na wachezaji wake wanne wa kimataifa.
Wachezaji hao ni beki wa kati, Yakubu Mohammed, kiungo Ally Niyonzima, mshambuliaji Mpiana Monzinzi na Obrey Chirwa, ambaye mkataba wake umemalizika.
"Azam FC tunawashukuru kwa mchango wao waliotoa katika klabu hii bora kipindi chote walichokuwa nasi na tunawatakia kila la kheri huko waendako."---- AZAM FC
Post a Comment