TULIA ACKSON AWAONGOZA VIONGOZI KUMUAGA MFUGALE
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amewaongoza Viongozi mbalimbali na Waombolezaji kutoa salamu za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale.
Tukio hilo limefanyika leo 05/07/2021 nyumbani kwa marehemu Ifunda, Iringa ambapo ndipo mwili wake utazikwa.
Post a Comment