PATRICK VIEIRA ASAINI CRYSTAL PALACE

Patrick Vieira rasmi ni Kocha mpya wa Crystal Palace na anatarajiwa kutangazwa leo.

Patrick Vieira amesema kuwa "azma na mipango ya Crystal Palace kwa siku zijazo" imemshawishi kuwa mrithi wa Roy Hodgson.

Vieira ambaye amekuwa nje ya kazi tangu kufutwa kazi mnamo Desemba, alihojiwa mwanzoni mnamo Aprili baada ya kuonyesha nia yake ya kuchukua nafasi ya Hodgson huko Selhurst Park.

No comments