Mamlaka ya maendeleo ya biashara nchini Tanzania (TanTrade), imesaini hati ya makubaliano ya Tsh. 420M kwa ajili ya ujenzi wa sanamu ya Buriani Hayati Dkt.John Pombe Magufuli na Ukarabati wa kumbi za kwenye maonyesho ya Sabasaba ya 45 ill kuenzi kazi ya Magufuli katika kuinua uchumi wa viwanda.
Post a Comment