NABII TB JOSHUA AAGWA LEO

Mwandishi wa Televisheni maarufu na nabii, Temitope Balogun Joshua aka TB Joshua, ameagwa leo rasmi katika kanisa lake la Mataifa yote (SCOAN) nchini Nigeria.

Nabii TB. Joshua tangu afariki dunia mnamo June 06,2021 siku ya Jumapili anatarajiwa kuzikwa kesho, baada ya kuagwa leo kanisani kwake.

No comments