RAPA LIL BABY AKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

Rapa Lil Baby wa nchini Marekani yuko chini ya ulinzi wa polisi wa Ufaransa kama sehemu ya uchunguzi wa dawa za kulevya, maafisa wamesema. 

Alikuwa Paris na nyota wa NBA James Harden katika Wiki ya Mitindo.

Lil Baby, ambaye jina lake halisi ni Dominique Armani Jones, alikamatwa na mtu mmoja kwa madai ya kubeba dawa za kulevya, ofisi ya mwendesha mashtaka wa Paris ilithibitisha.

No comments