BW. ATILIO TAGALILE AFARIKI DUNIA

Mwandishi mkongwe wa Habari nchini,  Bw. Atilio Tagalile amefariki Usiku wa kuamkia leo 09/07/2021.

Bw. Atilio Tagalile alikuwa kuwa Mwandishi, Mchambuzi na Mkufunzi, pia aliwahi kuwa kazi Radio Channel Africa pamoja na Sauti ya Ujerumani (DW), mwisho kabisa alifanyia kazi Magazeti ya Daily News na The Citizen.

Bwana Ametoa, Bwana ametwaa, jina la Bwana lihidiwe.#RIPATILIO🙏

No comments