MAREKANI KUANZA KUTOA CHANJO KWA WANYAMA

Mbuga za wanyama za Oakland na Denver nchini Marekani, zitakuwa kati ya mbuga za kwanza kuanza kutoa chanjo kwa chui, na wanyama ambao wapo kwenye kundi la mamalia wanaoweza kuambukizwa na maambukizo ya coronavirus.

Kampuni ya afya ya wanyama (ZOETIS) imetoa dozi zaidi ya 11,000 kwa karibu mbuga za wanyama 70 na hifadhi za wanyama pori kote nchini Marekani.

No comments