ALIEMUUA GENE SILLER KUTAFUTWA

Polisi wanamtafuta mtu aliyempiga risasi na kumuua mtaalamu wa gofu nchini Marekani, Gene Siller katika kilabu kaskazini mwa Atlanta Jumamosi iliyopita.

Polisi wa Kaunti ya Cobb walijibu ripoti ya mtu aliyepigwa risasi karibu saa 2:20 usiku na kumpata Siller akiwa kwenye shimo.

No comments