MARAIS WASTAAFU, MAWAZIRI WAWASILI KILOSA

Viongozi wastaafu wakiongozwa na marais wastaafu wa awamu ya pili na ya nne, Mhe. Ali Hassan Mwinyi na Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete walivyowasili Wilayani Kilosa Morogoro tayari kwa ziara ya kutembelea na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) leo Julai 6, 2021. 

No comments