MASHINDANO YA KAGAME KUFANYIKA DAR ES SALAAM

Shirikisho la soka Africa mashariki na kati CECAFA limethibitisha mashindano ya Kagame yatafanyika jijini Dar es Salaam kuanzia 1/08/2021 mpaka 15/08/2021

Mpaka sasa timu zilizothibitisha kushiriki ni pamoja na

Yanga SC, Azam FC (Tanzania)

Altabara(S.Sudan)

Le Messager Ngozi (Burundi)

APR (Rwanda)

Express FC, KCCA(Uganda)

° Tusker(Kenya)

° KMKM SC (Zanzibar)

Big Bullets (Malawi)

No comments