GHALIB SAID MOHAMMED AWAPONGEZA AZAM MEDIA

Nichukue fursa hii kuwapongeza sana AZAM MEDIA GROUP kwa kuweka udhamini wa MEDIA RIGHTS kupitia klabu yetu pendwa ya YOUNG AFRICANS SC.

Hakika mkataba huu wa kihistoria unakwenda kuinua thamani ya Klabu yetu na kuanza kufungua milango ya uimara wa kifedha kwenye klabu yetu.

Uimara wa kifedha ndio msingi wa kwanza na wa muhimu katika maendeleo endelevu ya mpira wa
nchi yetu.

Aidha, nichukue nafasi hii pia kuwaomba Wanachama, Mashabiki na wapenzi wa klabu yetu kuunga mkono manunuzi ya VISIMBUZI vya AZAM kama ishara ya ushirika wa kibiashara kati yetu.

---> Ghalib Said Mohammed

No comments