BURUNDI WAIFATA TANZANIA FAINALI

Baada ya sare ya 0-0 kwenye dakika 90 za mchezo wa nusu fainali ya pili kati ya Burundi na Kenya, Burundi wanatinga fainali kwa ushindi wa mikwaju ya penati (4-2)

Kwa ushindi huu, Tanzania itawakabili majirani zao Burundi katika fainali itakayopigwa Julai 30 hapa Bahir Dar international Stadium, Ethiopia saa 8:15 mchana.

Bado taji linanukia, dua zenu ziendelee ili turudi na mwali DSM🇹🇿.

No comments