TUKIO ZIMA RAIS SAMIA AKIWAAPISHA MABALOZI 13

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIWAAPISHA MABALOZI WATEULE 13 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO TAREHE 27/07/2021
Ikulu Tanzania. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu hassan akiwaapisha Mabalozi wateule wafuatao:-

1. Maj. Gen Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda.

2. Bw. Robert Kainunula Vedasto Kahendaguza kuwa Balozi Vienna, Austria.

3.Bw. Edwin Novath Rutegaruka kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi.

4.Bi Caroline Kitana Chipeta kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria.

5. Bi. Agness R. Kayola kuwa Balozi na Mkuu wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda.

6.Bw. Masoud A. Balozi kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar.

7. Bw. Caesar George Waitara kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia.

8.Bi. Swahiba Habibu Mndeme kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika.

9.Bi Maulidah Bwaakheir Hassan kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu.

10. Bw Alex Gabriel Kallua kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu.

11.Bw. Said Juma Mshana kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu.

12. Bw. Fredrick Ibrahim Kibuta kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu.

13. Bi. Hoyce Anderson Temu kuwa Balozi na Naibu Mkuu wa Kituo cha Geneva.

No comments