BERNARD MEMBE APATA AJALI

Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Tanzania Bernard Membe amepata ajali ya gari leo wakati akitokea Rondo kuelekea Lindi Mjini baada ya tairi la gari kupasuka.

Aliyekuwa Msaidizi wa Membe, Allan Kiluvia amesema Membe na wengine wote waliokuwemo kwenye gari wapo salama na hawajapata majeraha yoyote. 

No comments