Mwanariadha wa Marekani Sha'Carri Richardson hataweza kukimbia katika mbio za mita 100 kwenye Olimpiki ya Tokyo, baada ya kupimwa na kupata kemikali inayopatikana katika bangi.
Amepigwa marufuku kushiriki mashindano hayo, kwa siku 30 mpaka August 3, mwaka huu.
Post a Comment