WAVAMIA KIWANDA KWA BAHATI MBAYA
Jeshi la Marekni limetoa msamaha baada ya askari kuvamia kiwanda kwa bahati mbaya huko Bulgaria ambacho kinazalisha mashine za kusindika mafuta ya mzeituni.
Askari walisafisha jengo karibu na uwanja wa ndege ambao "waliamini ilikuwa sehemu ya eneo la mazoezi, lakini hiyo ilikuwa inamilikiwa na raia wa Bulgaria wanaofanya biashara ya kibinafsi." Hakuna silaha zilizofyatuliwa, jeshi la Marekani limesema.
Post a Comment