WANAMICHEZO 3800, 3600 WAMESHIRKI


"Lengo kuu la michezo hii ni kutekeleza azma ya Serikali ya kukuza Sekta ya Michezo kwa kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji kupitia wanafunzi mashuleni. Michezo ni sehemu ya Taaluma hivyo wanafunzi wanapata fursa ya kushindana, kuibua na kuendeleza vipaji vyao na kujenga Umoja wa Kitaifa, Upendo na Mshikamano"

"Katika mashindano ya mwaka huu 2021 jumla ya wanamichezo 3600 kutoka mikoa 26 wameshiriki kwenye michezo ya UMITASHUMTA ambapo michezo 10 itashindanishwa. Kwa upande wa jumla ya wanamichezo
3800 kutoka mikoa 28 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar wameshiriki katika michezo ya UMISSETA."- MHE. DAVID ERNEST SILINDE, Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI.
#

No comments