Shirika la Fedha Duniani (IMF) limepitisha msaada wa dola milioni 650 kwa Senegal kwa ajili ya kuisaidia nchi hiyo, kufuatia kuenea kwa maambukizi ya #COVID19.
Janga hilo limeathiri uchumi wa Senegal sana na kusababisha kuongezeka kwa maambukizi kwa wastani wa 1.5% mnamo 2020 kutoka 5.3% mnamo 2019, IMF ilisema.
Rais wa Nchi hiyo, Macky Sall pia amesema ni hatua nzuri ambayo IMF wamechukua kutusaidia kwani maambukizi yamekuwa mengi na uchumi umepungua kufuatia janga la #COVID19.
0 Comments