UMMY MWALIMU; MFUMO WA (GIS) UTASAIDIA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe Ummy Mwalimu amekutana Leo na Idara ya uendelezaji Miji na Vijiji, Ofisi ya Rais TAMISEMI na kusisitiza umuhimu wa kutumia mfumo wa Geographic Information Syestem Mapping (GIS) katika kupanga mipango ya maendeleo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa
Amesema mfumo huo utaisadia Serikali upanga mipango ya maendeleo kulingana na uhitaji wa eneo husika kwa mfano katika kuchagua wapi kituo cha afya kinahitaji ka kujengwa au shule ili kuepuka kuweka maendeleo kwenye eneo moja huku maeneo mengine yakiwa hayana huduma.
Post a Comment