JOE BIDEN AMLALAMIKIA DONALD TRUMP
Rais Joe Biden anaelekea Ulaya Alhamisi kesho, ikiwa ni safari yake ya kwanza ya kigeni tangu aingie Ikulu, kama Rais huku utawala ukizidi kusisitiza uhusiano Mataifa mengine.
Akiwa huko, atashiriki katika mkutano wote wa G7 na NATO, na vile vile EU-U.S.
Ujumbe muhimu wa Rais Joe Biden kwa washirika amesema; Kwa sasa Marekani imerudi kwenye mstari, baada ya Rais wa zamani Donald Trump kuwakejeli viongozi wa serikali wa taifa hilo.
Ikulu ya White House inasema safari hii itazingatia kujitolea kwa Marekani katika kukusanya demokrasia iliyo bora na kutetea maadili ya pamoja.
Post a Comment