MWINYI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI
"MWINYI; Leo nimefanya mazungumzo na viongozi mbali mbali wa dini wakiwemo viongozi wa Dini ya Kiislamu chini ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Al Kaabi na viongozi wa dini ya Kikristo wakiongozwa na Askofu Dickson Kaganga Katibu wa Umoja wa Dini mbali mbali niliwaeleza kuwa viongozi wa dini na Serikali wanapaswa kuwa kitu kimoja katika kuendeleza na kuimarisha masuala ya kijamii, kiuchumi na kimaendeleo."
"MWINYI; Pia Serikali ya awamu ya Nane imedhamiria kuja na ajenda ya uchumi wa Buluu kwa kuona kwamba Zanzibar imezungukwa na bahari na kuwa na rasilimali nyingi huku ikizingatiwa kwamba ardhi iliyopo haitoshi. Ikulu jijini Zanzibar."
Post a Comment