MANYAMA AKAMILISHA USAJIRI SIMBA
Simba imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Edward Manyama anayecheza Ruvu Shooting kwa sasa. Inaelezwa kilakitu kilikamilishwa jana, kilichobaki ni mchezaji huyo kutambulishwa rasmi.
Kuna tetesi ziliwahi kumhusisha kutakiwa na Yanga lakini kwa sasa tayari ameshamalizana na Simba.
Manyama alijiunga na Ruvu Shooting wakati wa Dirisha Dogo la usajili akitokea Namungo FC ya Ruangwa, Lindi.
(Source;@shaffihdauda_)
Post a Comment