TET KUENDELEA KUANDIKA VITABU NA KUANDAA MITAALA
KATIBU Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema Serikali haina mpango wa kuhamisha jukumu la uandishi wa vitabu na uandaaji wa mitaala kutoka kwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
Dk. Akwilapo amesema hayo Juni 17. 2021 wakati wa haflaa ya utiaji saini wa mkataba wa makubaliano ya uratibu na uandishi wa vitabu 32 vya kiada vya masomo ya ufundi kwa shule za sekondari kati ya TET na Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam (DIT).
Hivyo amewataka waandishi binafsi wa vitabu vya Kiada na Ziada kwa shule za Msingi na Sekondari kushirikiana na TET katika kufanya uandishi bora kwa maslahi ya taifa.

Post a Comment